Frances Colenso

Mke wa Askofu John Colenso na mwandishi

Frances Colenso (1816 - 1893) alikuwa mke wa Askofu John William Colenso. Kutoka Uingereza alimwambatana mume wake kuishi nchini Afrika Kusini. Tangu 1865 hadi kifo chake, Frances Colenso aliandika barua nyingi zinazomsaidia mwanahistoria wa Afrika Kusini kuelewa nyakati za karne ya 19. Barua hizo zimekusanyika katika kitabu: W.Rees (mhariri), 1958, Colenso: Letters from Natal.

Frances_Ellen_Colenso

Angalia piaEdit

MarejeoEdit

  • Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Frances Colenso kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.