Francis Ronald Reiss (amezaliwa Novemba 11, 1940) ni Askofu kutoka Marekani wa Kanisa Katoliki.

Alihudumu kama askofu msaidizi wa Jimbo kuu la Detroit huko Michigan kutoka 2003 hadi 2015.[1][2]

Marejeo

hariri
  1. "Bishop Francis Reiss". Archdiocese of Detroit (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2021-12-09.
  2. "Bishop Francis R. Reiss Bishop Francis Reiss Biography Auxiliary Bishop of Detroit". Archdiocese of Detroit (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2023-11-01.
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.