Frankétienne (jina kamili: Jean-Pierre Basilic Dantor Franck Étienne d'Argent; alizaliwa Ravine Sèche, 12 Aprili 1926) ni mshairi, mwandishi wa tamthilia, mchoraji, mwanamuziki, mwimbaji, na mwalimu nchini Haiti.

Mwandishi mkuu wa Haiti

Aliandika tamthilia na hadithi zake kwa Kihaiti.

Aliandika zaidi ya vitabu arobaini.

"Mazongomo" hariri

Frankétienne alibuni ushairi mpya ambao huitwa "Mazongomo" ("Les spirales" kwa Kifaransa). Mazongomo ni ushairi kwamba lazima ukamate "mwendo na maisha" kwa maneno. Harakati za Mazongomo zimevuviwa na utamaduni wa Afrika.

Vitabu vyake hariri

Kwa Kihaiti hariri

Tamthilia

  • Pèlin-Tèt. Port-au-Prince: Éditions du Soleil, 1978 ; Pelentet, tafsiri mpya. Lawrence, KS / Port-au-Prince : Enstiti Etid Ayisyen Inivesite Kannzas / Édition Espiral, 2002.
  • Troufobon. (1977) Port-au-Prince : Imprimerie Les Presses port-au-princiennes, 1979.
  • Bobomasouri. (1984) Port-au-Prince : collection Espiral, 1986.
  • Kaselezo. (1985) Dérives 53/54 (1986/1987) : pp. 125-163.
  • Totolomannwèl. Port-au-Prince, 1986.
  • Melovivi. Port-au-Prince, 1987.
  • Minywi mwen senk. Port-au-Prince, 1988.
  • Kalibofobo. Port-au-Prince, 1988.
  • Foukifoura. Port-au-Prince: Creacom, 2000.

Hadithi

  • Dézafi. Port-au-Prince : Édition Fardin, 1975 ; Châteauneuf-le-Rouge : Vents d'ailleurs, 2002.

Kwa Kifaransa hariri

  • Au Fil du temps (ushairi). Port-au-Prince: Imprimerie des Antilles, 1964.
  • La Marche (ushairi). Port-au-Prince: Éditions Panorama, 1964.
  • Mon côté gauche (ushairi). Port-au-Prince : Imprimerie Gaston, 1965.
  • Vigie de verre (hadithi). Port-au-Prince: Imprimerie Gaston, 1965.

Marejeo hariri

  • (kiingereza) Rachel Douglas, Frankétienne and rewriting : a work in progress, Lexington Books, Lanham (Md.), 2009, 195 p. (ISBN 978-0-7391-2565-6)
  • (kifaransa) Bernard Hadjadj, Frankétienne, l'universel haïtien : entretiens, Riveneuve éd., Marseille, 2012, 195 p. (ISBN 978-2-360-13099-3)
  • (kifaransa) Jean Jonassaint (éd;), Typo-topo-poéthique sur Franketienne, l'Harmattan, Paris, Torino, etc., 2008, 368 p. (ISBN 978-2-296-06787-5)
  • (kifaransa) Lilyan Kesteloot, « Frankétienne », in Anthologie négro-africaine. Histoire et textes de 1918 à nos jours, EDICEF, Vanves, 2001 (nouvelle éd.), p. 472-473
  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Frankétienne kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.