Frank Burnet
(Elekezwa kutoka Frank Macfarlane Burnet)
Frank Macfarlane Burnet (3 Septemba 1899 – 31 Agosti 1985) alikuwa daktari kutoka nchi ya Australia. Hasa alichunguza virusi vinavyosababisha maradhi mbalimbali. Mwaka wa 1951 alipewa cheo cha "Sir". Mwaka wa 1960, pamoja na Peter Medawar alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Frank Burnet kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |