Yohane Fransisko Regis

(Elekezwa kutoka Fransisko Regis)

Yohane Fransisko Regis, S.J. (Fontcouvert, 31 Januari 1597 - Lalouvesc, 31 Desemba 1640) alikuwa padri wa Shirika la Yesu nchini Ufaransa.

Mt. Yohane Fransisko Regis alivyochorwa.

Baada ya kuhudumia wagonjwa wa tauni, alikwenda kuhubiri na kuungamisha mfululizo jimbo la Viviers kuanzia mwaka 1633 hadi kifo chake.

Alitangazwa na Papa Klementi XI kuwa mwenye heri tarehe 18 Mei 1716, halafu Papa Klementi XII alimtangaza mtakatifu tarehe 5 Aprili 1737.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe aliyoiaga dunia[1]

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.