Franz Wilhelm von Wartenberg
Franz Wilhelm, Count von Wartenberg (alizaliwa Munich, 1 Machi 1593 – alifariki Ratisbon, 1 Desemba 1661) alikuwa Askofu Mkatoliki wa Bavaria wa Osnabrück. Alifukuzwa kutoka kwenye jimbo lake wakati wa Vita vya Miaka Thelathini lakini baadaye alirudishwa madarakani. Mwishoni mwa maisha yake, aliteuliwa kuwa Kardinali.[1]
Marejeo
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |