Freestyle Script ni fonti iliyoundwa na Martin Wait mwaka 1981, halafu toleo la Kooze liliundwa mwaka 1986.

Freestyle Script

Adobe, ITC na Letraset ni wahubiri ya Freestyle Script. Ina matoleo manne: Regular, Bold, SH Reg Alt, and SB Reg Alt.[1]

Marejeo hariri

  1. "Freestyle Script Font Family". Fonts.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-12-25. Iliwekwa mnamo 14 December 2017.  Unknown parameter |= ignored (help); Check date values in: |accessdate= (help)