Fritz Lipmann

(Elekezwa kutoka Fritz Albert Lipmann)

Fritz Albert Lipmann (12 Juni 189924 Julai 1986) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ujerumani; baadaye alihamia Marekani. Hasa alichunguza vimeng’enya katika chembe hai vibadilishavyo chakula kuwa nishati. Mwaka wa 1953, pamoja na Hans Krebs alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Fritz Lipmann
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fritz Lipmann kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.