Frontoni abati (alifariki karne ya 2 au ya 4) alikuwa Mkristo wa Misri ambaye alikwenda kuishi jangwani pamoja na wenzake 70[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yao inaadhimishwa tarehe 14 Aprili[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.