Fukushima, Fukushima
Fukushima (福島市) ndiyo mji mkuu katika mkoa wa Fukushima. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2007, mji una wakazi wapatao 290,000 wanaoishi katika mji huu.
Fukushima | |||
| |||
Nchi | Japani | ||
---|---|---|---|
Kanda | Tōhoku | ||
Mkoa | Fukushima | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 289,483 | ||
Tovuti: www.city.fukushima.fukushima.jp |
Makala hii kuhusu maeneo ya Japani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Fukushima, Fukushima kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |