Fumo Liyongo (wakati mwingine Fumo Liongo) alikuwa askari na mwandishi wa mashairi katika pwani ya kaskazini ya Afrika Mashariki kati ya karne ya 9 na karne ya 13.

Aliandika gungu mengi kama "Sifa la Uta" au "Wimbo wa Mapenzi".

Katika mwaka wa 1913, mwandishi wa mashairi Muhamadi Kijumwa aliandika juun yake utenzi maarufu uitwao utendi wa Fumo Liyongo, utenzi ambao ulikuwa ukielezea maisha ya Fumo Liyongo, aliyekuwa mshairi na pia mtawala katika eneo la Pate [1]

Mistari yake hariri

Mwanangwa

Mwanangwa ni fili

Hafi kwa ulili

Hufa kwa jabali

Kwalo kondo kali.

Nijiwapo nime

Moyo usiname

Niwe gombe dume

Kiukisha mbuzi

Nife dondo wazi

Ndi Fumo wa Ozi

Fumo Liyongo

Tanbihi hariri

  1. Guanghui, Cao; Kai, Hu; Jun, Zhou (2014-01-31). "Efficient Image Scrambling based on any Chaotic Map". International Journal of Security and Its Applications 8 (1): 343–354. ISSN 1738-9976. doi:10.14257/ijsia.2014.8.1.32. 

Marejeo hariri

  • J. L. Mbele (1986). The Liongo Fumo Epic and the Scholars. In «Kiswahili», 53 (1-2), pp. 128–145.
  • J. L. Mbele (1986). The Identity of the Hero in the Liongo Epic. In «Research in African Literatures», 17, pp. 464–473.
  • J. L. Mbele (1989). The Liongo Epic and Swahili Culture. In «Weekend Magazine» (January 17, 1989), p. 23.
  • Alice Werner, The Swahili Saga of Liongo Fumo (1926)

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fumo Liyongo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.