Gabriela Antonia García Segura (alizaliwa 2 Aprili 1997) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Venezuela, ambaye anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya Atletico Madrid, inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake ya Uhispania, na timu ya taifa Venezuela.[1][2]

Marejeo

hariri
  1. "Gaby García, Gabriela Antonia García Segura - Footballer | BDFutbol". www.bdfutbol.com. Iliwekwa mnamo 2024-09-21.
  2. "La venezolana que brilla en el Deportivo La Coruña | El Estímulo". elestimulo.com (kwa Kihispania). 2017-10-16. Iliwekwa mnamo 2024-09-21.
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gabriela García kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.