Gabriela Mistral (6 Aprili 188910 Januari 1957) alikuwa mwandishi na mshairi wa kike kutoka nchi ya Chile. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Lucila Godoy Alcayaga. Hasa aliuandikia upendo katika mashairi yake. Mwaka wa 1945 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Gabriela Mistral (miaka ya 1950)
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gabriela Mistral kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.