Game Goabaone Bantsi

Game Goabaone Bantsi (alizaliwa 22 Julai 1986), anafaahmika vema kwa jina lake la jukwaani kama Zeus ni msanii wa Botswana, mshehereshaji na mfanyabiashara. Zeus aliachia albamu yake ya kwanza iitwayo Freshly Baked mwaka 2008 iliyokuwa na nyimbo zilizotamba kama Back in the day na Gijima.[1][2] Amekuwa akipokea mitazamo chanya kutoka nchini kwake na nchi ya jirani ya Afrika Kusini.[3] Mwaka 2010 alikuwa nafasi ya saba katika 15 bora wa wanamuziki wa kurapu wa Afrika ya Kusini[4] na wanne katika Mikusanyiko ya wanamuziki wa rapu wa Afrika ya MNET mwaka 2010.[5]

Picha ya Zeus
Picha ya Zeus

Maisha ya Awali hariri

Zeus alizaliwa Serowe na kulelewa GAborane, mji mkuu wa Botswana. Ana ndugu watatu; Kaka wawili na dada mmoja naye ni mzaliwa wa mwisho katika familia ya watu wanne. Katika mohojiano alisema yakuwa, mama yake anapenda nyimbo za injili, Baba ni shabiki wa muziki wa Marekani, kaka zake wanapenda miziki ya kufoka na dada yake anapenda R&B.[6]

Marejeo hariri

  1. Nigerian Music – Trio Of Double Trophy Wins At 2009 Channel O Music Video Awards! Archived 1 Februari 2016 at the Wayback Machine
  2. "Mmegi Online :: Zeus to launch The Flipside". 27 April 2007. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 3 March 2016. Iliwekwa mnamo 28 October 2018.  Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  3. "Mmegi Online :: Zeus celebrates birthday celebrity catwalk style". 16 July 2010. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 3 March 2016. Iliwekwa mnamo 28 October 2018.  Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  4. "Top 15 South African Rappers". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 29 March 2012. Iliwekwa mnamo 29 October 2010.  Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  5. "MNET Top Ten African Rappers for 2010 list". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 5 September 2010. Iliwekwa mnamo 29 October 2010.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  6. "Mmegi Online :: Seuz vows to take South Africans head on". 13 April 2007. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 19 September 2016. Iliwekwa mnamo 28 October 2018.  Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)