Ganiyu Adams (anajulikana sana kama chifu Gani Adams; alizaliwa 30 Aprili 1970) ni mwanaharakati, mwanasiasa, na kiongozi wa jadi kutoka Nigeria. Pia ni Aare Ona Kakanfo wa 15[1] wa ardhi ya Yoruba.

Marejeo

hariri
  1. "No comparison between Alaafin, Aare Onakakanfo chiefs ―Gani Adams". Vanguard News (kwa American English). 2020-01-16. Iliwekwa mnamo 2022-03-14.
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gani Adams kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.