Gaugeriki wa Cambrai

Gaugeriki wa Cambrai (pia: Gery, Gorik, Gau; Carignan, 550 hivi - 11 Agosti 619) alikuwa askofu wa mji huo, leo nchini Ufaransa, kwa miaka 35 hivi[1][2].

Mchoro mdogo wa Mt. Gaugeriki.

Alianzisha monasteri na kukomboa watumwa pamoja na kuinjilisha hata vijijini[3].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 11 Agosti[4].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.