Ge Manqi (alizaliwa Sanming, Fujian, 13 Oktoba 1997) ni mwanariadha wa kike wa mbio fupi kutoka Uchina[1]. Kikundi cha Ge Manqi, Yuan Qiqi, Wei Yongli na Liang Xiaojing kimeorodheshwa cha kwanza kwenye mbio fupi fupi za wanawake za mita 4*100 kwenye Michuano ya IAAF Beijing ya Mei 18,2016. Alitumia sekunde 11.48 kwenye mita 100 ya michuano ya taifa ya riadha yaliofanyika Chongqing, Yaliomfanya afuzu kwenye michezo ya olimpiki ya mwaka  2016 jijini Rio de Janeiro.[2][3]

Marejeo

hariri
  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-08-26. Iliwekwa mnamo 2021-10-11.
  2. "2016年全国田径冠军赛落幕 泉州女将王乌品再夺金牌-闽南网". www.mnw.cn. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-09-20. Iliwekwa mnamo 2021-10-11. {{cite web}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)
  3. "Manqi GE | Profile | World Athletics". www.worldathletics.org. Iliwekwa mnamo 2021-10-11.