George Berkeley (12 Machi 1685 - 14 Januari 1753) alikuwa mwanafalsafa wa Uingereza. Pia alikuwa askofu Mwanglikana huko Cloyne nchini Ueire.

George Berkeley
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu George Berkeley kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.