George Clinton (26 Julai 173920 Aprili 1812) alikuwa Kaimu Rais wa Marekani chini ya Rais Thomas Jefferson, halafu chini ya Rais James Madison kuanzia mwaka wa 1805 hadi kifo chake 1812.

George Clinton
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu George Clinton kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.