George Edward Kelly

George Edward Kelly (16 Januari 188718 Juni 1974) alikuwa mwandishi na mwigizaji kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1926, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya kwa tamthiliya yake Craig's Wife.

George Edward Kelly
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu George Edward Kelly kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.