Georginio Wijnaldum

mchezaji soka wa Uholanzi

Georginio Wijnaldum (alizaliwa 11 Novemba 1990) ni mchezaji wa soka wa Uholanzi ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza Liverpool FC na timu ya taifa ya Uholanzi.

Wijnaldum akiwa Liverpool.

Alipata tuzo ya Mchezaji wa Uholanzi wa Mwaka wakati akiwa PSV.

Mwaka 2015, Wijnaldum alijiunga na Newcastle United kwa £ milioni 14.5, baadae aliondoka na kusaini mkataba wa miaka mitano na Liverpool FC kwa £ milioni 23. Aliisaidia nchi yake katika Kombe la Dunia la FIFA 2014.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Georginio Wijnaldum kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.