Gilberto Obdulio Porcal Martinez
Gilberto Obdulio Porcal Martinez ni askofu wa Anglikana nchini Uruguay.[1] Tangu mwaka 2012, amekuwa Askofu Msaidizi wa Uruguay.[2]
Marejeo
hariri- ↑ World Anglican
- ↑ "St George, Newbury". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-02-04. Iliwekwa mnamo 2024-11-27.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |