Glenn Feidanga Ni mchezaji wa mpira wa kikapu wa Afrika ya Kati ambaye alicheza mpira wa kikapu katika chuoni Long Island Brooklyn Blackbirds.[1]

Kazi ya kimataifa

hariri

Feidanga aliteuliwa katika kikosi cha awali cha Jamhuri ya Afrika ya Kati kwa AfroBasket mwaka 2015 na kocha mkuu Aubin-Thierry Goporo.[2]

Marejeo

hariri
  1. "Sherene Williams - 2022-23 - Women's Track and Field". Long Island University (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-09-02.
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-07-20. Iliwekwa mnamo 2022-09-02.