Go-Fukakusa wa Japani

Go-Fukakusa (28 Juni, 124317 Agosti, 1304) alikuwa mfalme mkuu wa 89 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Hisahito, na alikuwa mwana wa pili wa Tenno Go-Saga. Mwaka wa 1246 alimfuata babake, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu 1260. Aliyemfuata kama Tenno ni mdogo wake Kameyama.

Mchoro wa Go-Fukakusa

Angalia pia hariri

  Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Go-Fukakusa wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.