Go-Kashiwabara (19 Novemba 146419 Mei 1526) alikuwa mfalme mkuu wa 104 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Katsuhito. Tarehe 16 Novemba 1500 alimfuata baba yake, Go-Tsuchimikado, na kuwa mfalme hadi kifo chake. Aliyemfuata ni mwana wake, Go-Nara.

Angalia pia hariri

  Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Go-Kashiwabara kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.