Go-Sai
(Elekezwa kutoka Go-Sai wa Japani)
Go-Sai (1 Januari 1638 – 22 Machi 1685) alikuwa mfalme mkuu wa 111 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Nagahito. Tarehe 5 Januari 1655 alimfuata kaka yake, Go-Komyo, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu tarehe 5 Machi 1663. Aliyemfuata ni mdogo wake Reigen.
Angalia pia
haririMakala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Go-Sai kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |