Gogrial (pia: Gakrial, Qakriyal) ni mji wa Sudan Kusini, jimbo la Warrap.

Idadi ya watu wake ilikadiriwa kuwa 44,600 mwaka 2011.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri