Golden Globe
(Elekezwa kutoka Golden Globe Award)
Golden Globe Awards au 'Tuzo za Golden Globe ni tuzo ambazo hutolewa kila mwaka na Hollywood Foreign Press Association (HFPA) kwa kutambulisha kazi zilizofanya vizuri katika kipindi cha mwaka mzima hasa katika suala zima la burudani, iwe nchini Marekani na nchi za kigeni, na kuchukua mawazo zaidi ya watu hasa katika kuelezea kipi kilifanywa vizuri katika filamu na vipindi vya televisheni. Kipindi hiki hutaka kufanana kabisa na kile cha Academy Awards.[1]
Golden Globe | |
Alama za Tuzo ya Golden Globe | |
Hutolewa kwa ajili ya | Ubora katika filamu televisheni |
Hutolewa na | HFPA |
Nchi | Marekani |
Imeanza kutolewa mnamo | 1944 |
Tovuti rasmi |
---|
Marejeo
hariri- ↑ "About the HFPA". www.goldenglobes.org. HFPA. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-11-03. Iliwekwa mnamo 2008-11-02.
Viungo vya Nje
hariri- Hollywood Foreign Press Association Ilihifadhiwa 13 Desemba 2013 kwenye Wayback Machine.
- Awards listing Ilihifadhiwa 11 Aprili 2010 kwenye Wayback Machine. at the Internet Movie Database
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Golden Globe kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |