Gran Turismo (mchezo wa video)
Gran Turismo (kawaida huandikwa GT au GT1) ni mchezo wa kuendesha motoka ulioundwa na Kazunori Yamauchi. Gran Turismo ilitengenezwa na polyphony Digital na kwanza ilichapishwa na Sony Computer Entertainment mwaka 1997 kwa PlayStation video. Awali mchezo huu uliuzwa katika Ujapani tu lakini umaarufu wa mchezo umesababisha kuundwa kwa toleo la Marekani na kisha toleo la Ulaya ambao inauzwa katika nchi nyingine.
Jinsi inavyochezwa
haririGran Turismo Kimsingi kuzingatia uendeshaji wa magari/udereva. Mchezaji huendesha motokaa kushindana dhidi ya madereva wengine katika barabara mbalimbali za mashindano.
Gran Turismo ina magari 178 na barabara 11.
Mapokezi
haririMchezo huu ulisifiwa na wakosoaji wakiwemo IGN (9.5/10), Gamespot(8.6/10) na gazeti rasmi la Playstation (5 / 5). Kufikia 30 Aprili 2008, mcezo huu umeuza kopi milioni 2.55 katika Ujapani, 10000 katika Asia ya Kusini, milioni 4.3 katika Ulaya, na milioni 3.99 Amerika ya Kaskazini kwa jumla ya kopi milioni 10.85.
Viungo vya Nje
hariri- Gran Turismo official site
- The Greatest Games of All Time: Gran Turismo, GameSpot
- Gran Turismo (mchezo wa video) at MobyGames
- Official soundtrack Ilihifadhiwa 25 Februari 2009 kwenye Wayback Machine.
- Gran Turismo katika Open Directory Project
- The Gran Turismo wiki, an external wiki
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Gran Turismo (mchezo wa video) kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |