Greatman Takit
'
Greatman Takit | |
---|---|
Amezaliwa | 5 Oktoba 1992 |
Kazi yake | mwimbaji na mwanamuziki kutoka Nigeria |
Greatman Ademola Takit (amezaliwa 5 Oktoba 1992), ni mwimbaji na mwanamuziki kutoka Nigeria.[1][2] pia ni mtunzi wa nyimbo na mchezaji aliyepata umaarufu wa wimbo wake uitwao "kò sí ẹni kankan" mwaka 2011 na pia alitoa EP yake iitwayo "iná" mwaka 2016.
Marejeo
hariri- ↑ https://www.vanguardngr.com/2022/04/youth-swagger-2022-chidinma-greatman-takit-simeon-douglas-others-storm-calabar/
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-07-13. Iliwekwa mnamo 2023-12-14.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Greatman Takit kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |