Gregory Lawrence Parkes (amezaliwa Aprili 2, 1964) ni kiongozi kutoka Marekani wa Kanisa Katoliki.

Parkes amekuwa askofu wa tano wa Dayosisi ya Mt. Petersburg huko Florida tangu 2017. Alihudumu kama askofu wa Dayosisi ya Pensacola Tallahassee huko Florida kutoka 2012 hadi 2016.[1][2]

Marejeo

hariri
  1. "Previous Bishops of the Diocese". Catholic Diocese of Pensacola-Tallahassee (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-11-28.
  2. "Most Reverend Gregory L. Parkes". Catholic Diocese of Saint Petersburg (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2021-11-28.
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.