Guadalajara, Jalisco
(Elekezwa kutoka Guadalajara)
Guadalajara ni mji mkuu na pia mji mkubwa katika jimbo la Jalisco. Ni mji upande wa kati ya jimbo na magharibi ya nchi Mexiko. Idadi ya wakazi ni 1,579,174, pamoja na mitaa ya jirani rundiko la mji lina wakazi 4,095,174. Guadalajara ni mji mkubwa wa pili nchini Mexiko. Uneo lake ni 151 km².
Jiji la Guadalajara | |
Nchi | Mexiko |
---|---|
Jimbo | Jalisco |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 1,579,174 |
Tovuti: www.Guadalajara.gob.mx |
Jina la mji limetokana na mji wa Guadalajara katika Hispania. Jina ni ya Kiarabu Wadi-al-Hajara (وادي الحجارة), maana yake ni Bonde la Changarawe.
Mji ulianzishwa na Cristóbal de Oñate mwaka 1531.
Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Guadalajara, Jalisco kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |