Gurbanguly Berdimuhamedow

Gurbanguly Mälikgulyýewiç Berdimuhamedow' (amezaliwa 29 Juni 1957) ni mwanasiasa wa Turkmenistan ambaye amekuwa akihudumu kama Rais wa nchi tangu Februari 2007.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gurbanguly Berdimuhamedow kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.