Gustav Hertz
(Elekezwa kutoka Gustav Ludwig Hertz)
Gustav Ludwig Hertz (22 Julai 1887 – 30 Oktoba 1975) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Ujerumani.
Hasa alichunguza sifa za atomu. Pia alivumbua njia fulani ya kutenganisha isotopu.
Mwaka wa 1925, pamoja na James Franck alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Gustav Hertz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |