Hai Phong
(Elekezwa kutoka Hải Phòng)
Hải Phòng ni mji mkubwa wa tatu wa Vietnam. Eneo lake ni 1,507.57 km². Mwaka 2009 wakazi 1,837,173 walihesabiwa.
Tazama pia
haririViungo vya nje
hariri- Tovuti rasmi Ilihifadhiwa 15 Aprili 2021 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|