Haji Mussa Kitole

Mwanasiasa wa Zanzibar

Haji Mussa Kitole ni mwanasiasa wa Zanzibar na mwanachama wa chama cha ahazi Asilia. Aliwania nafasi ya urais wa Zanzibar tarehe 30 Oktoba 2005 kama mgombea wa chama cha Jahazi Asilia, Kitole alishika nafasi ya 3 kati ya wagombea sita, akipata asilimia 0.47% ya kura.[1]

Marejeo

hariri
  1. "Elections in Zanzibar". African Elections Database. Iliwekwa mnamo 2010-10-31.