Hakainde Hichilema

Raisi mteule wa Zambia

Hakainde Hichilema (alizaliwa Monze, 4 Juni 1964) ni mfanyabiashara na rais mteule wa nchi ya Zambia, Alishinda urais katika uchaguzi wa mwaka 2021 baada ya kugombea mara sita - 2006, 2008, 2011, 2015, 2016 hadi kushinda mwaka 2021.[1] [2]

Sergio Mattarella na Hakainde Hichilema mnamo 2022
Sergio Mattarella na Hakainde Hichilema mnamo 2022

Maisha ya Awali

hariri

Hichilema alipata ufadhili wa kusoma katika chuo kikuu cha Zambia na kuhitimu mwaka 1986 na kupata shahada ya Uchumi na Biashara, baadaye alijiunga katika chuo kikuu cha Birmingham nchini Uingereza alikosoma mambo ya fedha na usimamizi wa biashara.[3]

Tanbihi

hariri
  1. Foundation, Thomson Reuters. "Zambian opposition leader Hakainde Hichilema wins presidential election". news.trust.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-08-16. Iliwekwa mnamo 16 Agosti 2021. {{cite web}}: |first= has generic name (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Zambian opposition leader Hakainde Hichilema wins presidential election". Reuters (kwa Kiingereza). 16 Agosti 2021. Iliwekwa mnamo 16 Agosti 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Biography: Hakainde Hichilema". www.hh-zambia.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-01-23. Iliwekwa mnamo 23 Januari 2015. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hakainde Hichilema kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.