Haki za binadamu nchini India

Haki za binadamu nchini India ni suala linalotatizwa na ukubwa wa nchi na idadi ya watu pamoja na tamaduni mbalimbali, licha ya hadhi yake kama jamhuri kubwa zaidi ya ulimwengu inayojitawala, isiyo ya kidini na ya kidemokrasia. Katiba ya India inatoa haki za Msingi, ambazo ni pamoja na uhuru wa dini. baadhi ya vifungu vya sheria vinatoa uhuru wa kujieleza, pamoja na mgawanyo wa watendaji na mahakama na uhuru wa kutembea ndani ya nchi na nje ya nchi. Nchi pia ina mahakama huru [1][2] pamoja na vyombo vya kuangalia masuala ya haki za binadamu.[3]

Marejeo

hariri
  1. "Human rights in India", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2022-04-20, iliwekwa mnamo 2022-05-24
  2. "Human rights in India", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2022-04-20, iliwekwa mnamo 2022-05-24
  3. "Human rights in India", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2022-04-20, iliwekwa mnamo 2022-05-24