Haki za wanawake nchini Saudi Arabia

Kulingana na (Human Rights Watch na Amnesty International), wanawake nchini Saudi Arabia wanabaguliwa kuhusiana na ndoa, familia na talaka licha ya mageuzi ya hivi majuzi.[1][2] Serikali ya Saudia inaendelea kuwalenga na kuwakandamiza wanaharakati wa haki za wanawake.[3]

Marejeo hariri

  1. Human Rights Watch (2022-01-13), "Saudi Arabia: Events of 2021", English (in English), retrieved 2022-04-01 
  2. Saudi Arabia (en-US).
  3. Saudi Arabia 2020 Archives (en).
  Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Haki za wanawake nchini Saudi Arabia kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.