Hakkunde

Filamu ya Nigeria

Hakkunde ni filamu ya Nigeria ya mwaka 2017 iliyoandikwa na kuongozwa na Oluseyi Asurf.[1]

Plot hariri

Filamu hii inaelezea maisha ya kijana ambaye anamaliza chuo kikuu na kuamua kupambana ili kuleta maendeleo katika jamii yake.[2][3]

Wahusika hariri

  • Frank Donga as Akande[4]
  • Toyin Aimakhu as Yewande[4]
  • Rahama Sadau as Aisha[4]
  • Maryam Booth as Binta[4]
  • Bukky Ajayi as Akande's mother[4]
  • Ibrahim Daddy as Ibrahim, Okada man[4]

Marejeo hariri

  1. Orubo, Daniel. "'Hakkunde' Gets A Moving Full-Length Trailer – With Frank Donga At His Best". Konbini (kwa Kiingereza). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 16 March 2019. Iliwekwa mnamo 3 November 2019.  Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  2. "Synopsis". HAKKUNDE (kwa en-US). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-02-24. Iliwekwa mnamo 2019-11-03.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  3. "HAKKUNDE". HAKKUNDE (kwa en-US). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-02-19. Iliwekwa mnamo 2019-11-03.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  4. 4.0 4.1 4.2 4.3 4.4 4.5 "Frank Donga shines as Hakkunde impresses with comedy and drama". pulse.ng. 31 July 2017. Iliwekwa mnamo 3 November 2019.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)

Viungo vya Nje hariri

  • [www.hakkunde.com Tovuti rasmi ya Hakkunde ]
  • Hakkunde katika Internet Movie Database
  Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hakkunde kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.