Hamid Reza Arabnia ni profesa wa sayansi ya kompyuta katika Chuo Kikuu cha Georgia, Marekani. Amekuwa mhariri mkuu wa Jarida la Supercomputing tangu 1997.

Marejeo

hariri