Hamilton High School (Bulawayo)

Hamilton High School ni shule ya upili ya wavulana iliyopo katika mji wa Bulawayo nchini Zimbabwe.

Mwaka 2003, Hamilton High School ilitambuliwa na Africa Almac kama moja ya shule 100 bora zaidi barani Afrika kutokana na utoaji wa elimu bora .[1]

Historia hariri

Shule hii ilianzishwa mwaka 1959, na hadi kufikia mwaka 1981 Hamilton High School ilikuwa na jumala ya walimu wa kuu watatu, mwaka 1959 hadi 1965 I.H. (Ian Hall) Grant, 1966 hadi 1975 E.C.W. Silcock, na 1976 hadi 1981 JPB Armstrong.[2]

External links hariri

Marejeo hariri

  1. "top20highschools". Africa Almanac. Africa Almanac. 1 October 2003. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 14 January 2007. Iliwekwa mnamo 19 June 2016. The research leading up to the publication of the 100 Best High Schools in Africa began with the launching of the website in December 2000.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  2. "Heads of Hamilton High School Archived 25 Machi 2009 at the Wayback Machine". Hamilton High School Old Boys Association.
  Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hamilton High School (Bulawayo) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.