Hamisa Hassan Mobetto (alizaliwa Mwanza, Tanzania, Disemba 10, 1994)[1] ni mwimbaji, mwigizaji, mfanyabiashara, na mwanamitindo wa Tanzania.

Hamisa Hasan Mobeto
Amezaliwa 10th December 1994
Mwanza
Nchi Tanzania
Kazi yake Mwimbaji, mwanamitindo

Maisha ya awali na elimu

hariri

Alizaliwa katika familia ya Kiislamu na alikuwa na shauku ya uanamitindo akiwa mtoto.

Aliendeleza kazi yake katika uana mitindo baada ya kumaliza shule ya sekondari.[2]

Marejeo

hariri
  1. Dennis Milimo (2019-03-27). "Hamisa Mobetto exposed for lying about her real Age". Pulselive Kenya (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-05-05.
  2. https://www.sportskeeda.com/amp/pop-culture/who-hamisa-mobetto-all-rick-ross-rumored-girlfriend-couple-s-dubai-pictures-grab-headlines
  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hamisa Mobetto kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.