Hammam Essalihine (kwa Kiarabu: حمام الصالحين : "Bafu ya wenye haki"; kwa Kilatini: Aquae Flavianae) ni bafu ya kale ya Kirumi iliyo katika milima ya Aurès katika wilaya ya El Hamma katika mkoa wa Khenchela wa Algeria.

Bafu ya Hammam.

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Hammam Essalihine kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.