Hamsini (kutoka neno la Kiarabu خمسون) ni namba inayoandikwa 50 kwa tarakimu za kawaida na L kwa zile za Kirumi.

Ni namba asilia inayofuata 49 na kutangulia 51.

Vigawo vyake vya namba tasa ni: 2 x 5 x 5.

Matumizi hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hamsini kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.