Hans Buchner (Mtunzi)

Hans Buchner (26 Oktoba 1483 – Machi 1538) alikuwa mtungaji muziki na mpigakinanda kutoka nchi ya Ujerumani. Aliandika "Kitabu cha Msingi" (kwa Kijerumani: Fundamentbuch). Humo kitabuni alikusanya muziki kwa kinanda pamoja na maelezo ya upigakinanda.

Kazi mojawapo ya Buchner

Viungo vya nje

hariri

Maelezo kuhusu H.Buchner

  Makala hii kuhusu muziki wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hans Buchner (Mtunzi) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.