Haraka (kutoka Kiarabu; kwa Kiingereza: fast) ni kasi kubwa katika kutenda au kusonga, hasa kwa muda mfupi au bila kuchelewa.

Matokeo si mazuri kila mara; ndiyo sababu mithali maarufu inasema: "Harakaharaka haina baraka".