Harambee
Harambee ni neno ambalo lilitungwa na hayati Mzee Jomo Kenyatta (rais wa kwanza wa Jamhuri ya Kenya) ili kuwapa motisha wafanyakazi na hasa wale wanaofanya kazi nzitonzito.
Harambee hutoka kwa neno la Kihindi, Har Ambee, ambalo ni sifa kwa miungu wa kihindi wawape nguvu na uwezo wa kufanya kazi.
Neno hili lilisikika sana wakati wahindi walitumiwa kama vibarua wa kutengeneza reli kati ya Nairobi na Mombasa.
Kisha likatoholewa na mwishowe likaja kujulikana kumaanisha "tuvute pamoja"
Viungo vya nje
hariri- The "Harambee Movement" in Kenya
- Harambe: The spirit of giving or reaping? Archived 27 Februari 2008 at the Wayback Machine.
- Transparency International report on Harambee activity 2000-2002 Archived 27 Februari 2008 at the Wayback Machine.
- Harambee Center in Pasadena, CA
- Harambee Community Development Association Archived 8 Aprili 2015 at the Wayback Machine. in Renton, WA
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Harambee kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |