Harrison George Mwakyembe

Mwakyembe

Harrison George Mwakyembe (amezaliwa tar. 10 Desemba 1955) ni mbunge wa jimbo la Kyela katika bunge la kitaifa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama piaEdit

MarejeoEdit

  1. Mengi kuhusu Harrison George Mwakyembe (16 Mei 2008). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.