Harry S. Truman
Harry S. Truman (8 Mei 1884 – 26 Desemba 1972) alikuwa Rais wa 33 wa Marekani kuanzia mwaka wa 1945 hadi 1953. Kaimu Rais wake alikuwa Alben Barkley (1949-53).
Harry S. Truman | |
Makamu wa Rais | Alben W. Barkley (1949–1953) |
---|---|
mtangulizi | Franklin D. Roosevelt |
aliyemfuata | Dwight D. Eisenhower |
tarehe ya kuzaliwa | Lamar, Missouri, Marekani. | Mei 8, 1884
tarehe ya kufa | 26 Desemba 1972 (umri 88) Kansas City, Missouri, U.S. |
ndoa | Bess Wallace (m. 1919) |
watoto | Margaret Truman |
Fani yake | Mkulima |
dini | Ukristo |
signature |
Tazamia pia
hariri}}
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Harry S. Truman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |